NINA UZIMA Lyrics By David Kadesi
0
0
8 Mga view·
19 Agosto 2023
Uzima tunao ni katika bwana Yesu,ni kwake tumaini letu, tuki acha maisha yetu ya ongozwe naye, ni hapo tuta tiwa nguvu yaku songa mbele na ku endeleya mbele kwenye safari yetu ya kwenda mbinguni, tubarikiwe pamoja na hiloujumbe, ila ukisha barikiwa mubariki mwenzio pia kwa ku share iyo mwimbo. Mungu awa bariki
retrouvez nous egalement sur; instagram et sur Facebook David kadesi
https://www.instagram.com/accounts/edit/
Magpakita ng higit pa
0 Mga komento
sort Pagbukud-bukurin Ayon