NINAKUPENDA - (Boaz Danken Ft Roc Worshippers)
0
0
2 Views·
02 August 2023
In
Gospel Songs
Niko chini ya miguu yako
Inayong'ara kuliko shaba
Nimeinama natamani nikujue
Nione tumaini la mwito wako
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda .
Ninakupenda, ninakupenda
Ninakupenda, ninakupenda
Yesu, Yesu
Yesu, Yesu uuh .
#Boazdanken #Ninakupenda #Ninakupenda
Show more
0 Comments
sort Sort By