NYIMBO ZA ROHO MTAKATIFU KWAYA YA MTAKATIFU SECILIA MBURAHATI | JOHN MAJA
Karibuni wapendwa tusali pamoja na kumwomba Roho Mtakatifu aweze kutujalia mapaji na neema zake mbalimbali kupitia nyimbo za Roho Mtakatifu zilizoandaliwa na kwanya ya Mtakatifu Secilia Mburahati.
#nyimbo hizi ni pamoja na:
1.ROHO WA BWANA IMEUJAZA ULIMWENGU BY F.KASHUMBA
2. NJOO WANGU MFARIJI WIMBO WA ASILI BY J. MAKOYE
3. ROHO MTAKATIFU BY JOHN MAJA
Na zingine nyingi
KARIBU TUIANGALIE CHANNEL HIIYENYE MAUDHUI YA NYIMBO MBALIMBALI ZA KANISA KATOLIKI
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
#JUGOMEDIA,#NYIMBOZAROHOMTAKATIFU,#KWAYAYAMTAKATIFUSECILIA
#catholicchurch #nyimbo #japan #ukraine #nyimbozakikatoliki #usa #christmassong #tanzania #jesuschrist #masiha #japan #christmassong #jesuschrist #masiha #album #pesa #newsong
MAWASILIANO:
JOHN MAJA
NAMBA YA SIMU: +255 754 057 262
DAR ES SALAAM