Up next

PASIPO ROHO MTAKATIFU HATUWEZI KUSHINDA DHAMBI

2 Views· 10 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Bwana Yesu ameahidi kutupa nguvu kwa ujio wa Roho wake Mtakatifu juu yetu.

"Hata alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kwangu; ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache. -
Basi walipokutanika, wakamwuliza, wakisema, Je! Bwana, wakati huu ndipo unapowarudishia Israeli ufalme? Akawaambia, Si kazi yenu kujua nyakati wala majira, Baba aliyoyaweka katika mamlaka yake mwenyewe. Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi" #Matendo 1:4-8

Barikiwa kwa ujumbe huu

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next