Paul Mwangosi Ft Goodluck Msuya & Deborah Kuyokwa- Unaweza Yesu( 0fficial Music Video) MOYO WA I
0
0
3 Görünümler·
03 Ağustos 2023
İçinde
Müzik
Ashukuriwe Mungu aliye hai katika kristo Yesu anayetupa Neema zaidi na zidi Yesye Hachoki wala halali, Mungu anaye weka nyimbo ndani yetu.
Unaweza Yesu Ni wimbo unao kuongeza kiwango cha Imani, na kutangaza uweza wa Mungu katika Yesu kristo,, Ukiwa katikati ya maswali mengi imba wimbo huu kwa Imnani na furaha sema Unaweza Yesu.
Unaweza Yesu
Unaweza Yesu
Daha fazla göster
0 Yorumlar
sort Göre sırala