RC MAKONDA NA ASKOFU GWAJIMA USO KWA USO KANISANI KWA ASKOFU KAKOBE
0
0
1 Views·
04 August 2023
Hi headlines za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mchugaji Gwajima ambapo wawili hawa walikuwa na tofauti zao lakini leo wameonekana wakizungumza katika kanisa la Askofu Kakobe ambapo ni siku ya kuadhimisha miaka 30 tangu kwa kuanzishwa kwa kanisa la Kakobe
Show more
0 Comments
sort Sort By