Следующий

Rehema Simfukwe - Kiu (Offical Lyric Video) SKIZA SMS SKIZA 8089985 TO 811

4 Просмотры· 03 Август 2023
proshabo
proshabo
5 Подписчики
5

Mwaka 2016, Niliwahi kupitia kipindi kigumu ambacho kila ushauri niliokua ninaupata nilikua naona hautoshelezi (ni kama nilikua kwenye chumba cha peke yangu), Nikiwa kwenye bodaboda naenda chuo IFM, Nikawa nasikia maneno ndani yangu "NINA KIU NAWE, NINA HAJA NAWE, SINA MWINGINE, Nikawa namwambia Mungu nikikosa vyote nipe #TONE tu la DAMU yako, liniinue, linisafishe. Tokea hapo wimbo huu umekua baraka kwangu nna kwa watu wengi.

Ni maombi yangu wimbo huu ukafanyike baraka kwa kila mtu atakayesikia na Mungu akafanyike utoshelevu.

#Kiu#RehemaSimfukwe#VideoLyrics

Song writer: Rehema Simfukwe
Producer: Sam Yonah.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

Показать больше

 0 Комментарии sort   Сортировать по


Следующий