Rose Muhando - Ombi Langu (Official Music Video) SKIZA CODE - 5964896
0
0
0 المشاهدات·
28 يوليو 2023
في
موسيقى
Ni OMBI LANGU kwa Bwana, taifa langu la Tanzania litambue uwepo wake,
Kanisa lisimame na kuimarishwa, uhalisia wa Mungu udhihirike kwa watu wake.
Ni ombi langu kwa Bwana Yesu,
Mwaka Bwana akujibu OMBI LAKO
Yesu, ajitukuze kwenye maisha yako, kila atayesikia amtukuze pamoja na wewe!
#RoseMuhando #Ombilangu #MusicVideo
أظهر المزيد
0 تعليقات
sort ترتيب حسب