Up next

SAYANSI YA KUSHINDA DHAMBI-SEH 2,DHAMBI NI NINI?

5 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Wengi wakiulizwa dhambi ni nini husema ni Uasi wa sheria 1 Yoh 3:4, warumi 7:7,8. Ni jibu sahihi lakini halina kina cha kushughulikia mzizi wa dhambi ili kumletea mtumwa wa dhambi ukombozi.

Kujua dhambi ni nini, kwa kina katika shina lake ni hatua muhimu kuelekea kuishinda dhambi, kuielewa juu juu hupelekea kuishughulikia juu juu...

KUJUA MZIZI WA MAANA YA DHAMBI, ILI KUISHUGHULIKIA ING'OLEWE MAISHANI MWAKO,FUATILIA VIDEO HII

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next