Shalom TV - Press Conference - Askofu Sylvester Gamanywa
0
0
2 Views·
06 August 2023
Shalom TV Online
Press Conference- Mkutano wa waandishi wa habari wa Wapo Radio, Gazeti la Msemakweli na Kituo cha Televishion cha Shalom TV, Wafanya Mkutano na Askofuku Sylvester Gamanywa mara baada ya Ibada kuu ya Kishwahili ya Ujazo wa Roho Mtakatifu, iliyoambatana na Semina ya Tuda la Roho, pamoja na maombezi ya kufunguliwa.
Jana ikiwa ni wiki ya 8 ya semina hiyo. Fuatilia Mkutano huo hapa. Pia unaweza kutupata pia kwenye Youtube: Shalom TV Online au bonyeza linki hii:
Show more
0 Comments
sort Sort By