あなたは18歳以上ですか?
Kuanzia tarehe 21 hadi 28/8/2022 ilikuwa wiki ya sifa na muziki kitaifa kwa makanisa ya FPCT. Kanisa la FPCT Chumvi ya Dunia pamoja na kuwa changa halikubaki nyuma.