TAFUTA NJIA YA UTAKATIFU
0
0
3 Views·
06 August 2023
Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo ajapo Mwana wa Adamu. (Luka 12:40 ).
Namna ya pekee ya kujiweka tayari ni kwa kusihi maisha matakatifu.
Kuna tofauti ya kuishi maisha matakatifu na kuishi maisha ya toba.
Maisha ya toba yanatoa nafasi kwa dhambi maana unajua utaitubia.
Maisha matakatifu ni maisha ya kujitenga jumla na dhambi.
Pandisha daraja toka maisha ya toba kuja maisha ya utakatifu.
UTAKATIFU PASIPO HUO HAKUNA ATAKAYEMWONA MUNGU.
#TEAM_UTAKATIFU.
Show more
0 Comments
sort Sort By