TANGU SIKU HIYO ALIPONIJIA (AUDIO GOSPEL) | WIMBO WA WOKOVU | SHALOM VINE CHOIR
0
0
4 צפיות·
01 סֶפּטֶמבֶּר 2023
Nyimbo hizi za WOKOVU zinazotumika katika kanisa la Fpct hapa nchini Tanzania pamoja na makanisa mengine, zimerekodiwa na kwaya ya Shalom Vine Choir toka kanisa la Fpct Shalom Temple lililopo wilaya ya Kahama katika mkoa wa Shinyanga.
*****************
Katibu wa Kwaya
John Theodory - 0763773796
להראות יותר
0 הערות
sort מיין לפי