Up next

TRACK : Namlilia Malebo - By Pastor Faustin Munishi

3 Views· 01 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5
In Sermons

Aliyekuwa Rais wa tatu Tanzania Benjamin William Mkapa tulisoma pamoja, Michezo ya utotoni tukaicheza Pamoja. Sasa ni watu wazima na mimi Nimeokoka au kuzaliwa mara ya pili. nikimwambia Aokoke yeye anaruka Kimanga. Niliposema CCM Imezeeka, Mkapa alitaka kunitoa Roho. Najua Tatizo lake. Sikia wimbo huu. TRACK : Namlilia Malebo - By Pastor Faustin Munishi GTV

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next