Tukio La 8

6 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Tukio La 8 Kati Ya Matukio 12 Ya Kinabii Yatakayoitikisa Dunia Ya Leo Ni Kuhusu; " Maandalizi Ya Ujenzi Wa Hekalu La Tatu Jijini Jerusalemu." Askofu Sylvester Gamanywa atafundisha ujumbe huu, ikiwa ni tarehe 18-06-2017. Karibu BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dar es Salaam

Show more

 0 Comments sort   Sort By