您已年满 18 岁或以上?
UHIMIDIWE ni wimbo uliobeba jina la Album yangu ya Pili iitwayo NIMEKUBALI. Album hii (Audio) niliimba na Rafiki yangu Fanuel Sedekia; Ndiye aliyenitia moyo kwenda Studio kwa mara ya pili.