Up next

UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA BISHOP GAMANYWA.

2 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

#USIPITWEJUMAPILIHII
TUMIA DAKIKA TATU KWA UTULIVU KISHA TAFAKARI ANDIKO HILI KATIKA HALI UNAYOPITIA👇👇👇
Luke 1:37 kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa Mungu.
BAADA YA KUTAFAKARI CHUKUA HATUA YA IMANI.

#USIPITWE JUMAPILI HII YA TAR.14/11/2021 IBADA YA UPONYAJI WA YESU KRISTO NA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU, NIKUANZIA SAA 4:00 ASUBUHI MPAKA SAA 8:00 MCHANA, WALETE WAGONJWA WOTE NA WALIOFUNGWA.
MTUMISHI WA MUNGU BISHOP SYLVESTER GAMANYWA KWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU ATAFANYA MAOMBEZI JUU YAO Nao watapokea Uponyaji na Neema amboyo Mungu ameiachilia kwaajili yao na yako wewe Unayetamani Kumjua Mungu zaidi,KUFUNGULIWA KATIKA VIFUNGO vya Magonjwa,Uchumi na Uishi Katika MAFANIKIO YA KIUNGU.
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
KWA VIPINDI BORA KWA MASAA 24 SIKU 7 ZA WIKI, UNAWEZA KUUNGANA NASI KUPITIA WAPO RADIO ONLINE
https://waporadio.radio12345.com/

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next