Up next

UJUMBE: MKRISTO NA MAISHA YA UTAKATIFU | MH.WINIFRIDA JORAM

1 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Agosti 15 2021 kanisa la Fpct kote nchini Tanzania katika majimbo yetu 25 kumefanyika sherehe kwa idara ya wanawake watumishi 'U.W.W' na katika tawi la Fpct Shalom Temple hapa manispaa ya Kahama, siku iyo imehitimishwa kwa wamama watumishi kumzawadia mchungaji wetu kiasi cha shilingi milioni mbili kwa ajili ya ununuzi wa viti vya ndani {Sofa Seti}.

Kanisa tunaipongeza idara hii ya Wanawake kwa utumishi walioufanya katika nyumba ya mchungaji wetu, Mungu awabariki sana amen.

KANISA LIPO MANISPAA YA KAHAMA KATIKA MKOA WA SHINYANGA KATA YA NYIHOGO ENEO LINALOITWA MNAZI MMOJA AU WAWEZA KUTUPIGIA SIMU:- +255 757929669 .
-----------------------------------------------------------------
- WEBSITE👉http://shalomtemplelive.org/​​​​​​​​​...
----------------------------------------------------------------
- FACEBOOK👉https://bit.ly/3c1guBA​​​​​​​​​​​​​​​...
------------------------------------------------------------
- INSTAGRAM👉https://bit.ly/2VarfKJ​​​​​​​​​​​​​​​...
----------------------------------------------------------
- TWITTER👉https://bit.ly/3bXwUur​​​​​​​​​​​​​​​...
--------------------------------------------------------
- WHATSAPP👉+255 757 92 96 69

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next