UKWELI KUHUSU NDOA YA MWIMBAJI ANGEL BENARD NA ALIEKUWA MUME WAKE GODSAVE SAKAFU....✍️
0
0
4 Views·
28 July 2023
In
Gospel Songs
Baada Ya Minong'ono Mingi Ya Watu Wakitaka Kujua Ukweli Kuhusu Ndoa Ya Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili ANGEL BENARD Na Aliekua Mume Wake GODSAVE SAKAFU Hatimae Tumempata FELIS MUBIBYA Kutoka Marekani Na Amethibitisha Kuwa Wawili Hao Wametengana Na ANGEL BENARD Kufunga ndoa Nyingine Huko Marekani.
Show more
0 Comments
sort Sort By