UMEINULIWA JUU - (Boaz Danken and Roc Worshippers)
Umeinuliwa Lyrics
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Kwa maana jinsi Mungu aliupenda ulimwengu
Hata akamtoa mwanaye Yesu wa pekee
Kila amuonaye asipotee awe na uzima wa milele
Kama vile Musa alivyoinua joka la shaba jangwani
Ndivyo Yesu aliyoinuliwa juu
Kila amuonaye asipotee awe na uzima wa milele
Amekiponda kichwa cha adui
Ameteka mateka angani
Amemwaga kipawa kwa watu wake
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Nani alihesabu habari tulizoleea na mkono wa Bwana
Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani
Mtu wa huzuni nyingi ajuaye sikitiko
Alikuja kwetu akafanyika mwanadamu
Hivyo Mungu kamuadimisha
Akamkirimia jina lipitalo majina yote
Kwa jina la Yesu kila goti lipigwe
Na vitu vya mbinguni na duniani
Na chini ya dunia kila ulimi ukiri
Kuwa Yesu ni Bwana kwa utukufu wa Baba
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
Umeinuliwa umeinuliwa
#Boaz Danken #UmeinuliwaJuu #Rocworshipperz