您已年满 18 岁或以上?
Mtume na Nabii Hebron akifundisha somo kuhusu kurudii kwa YESU KRISTO mara ya pili na unyakuo, na jinsi itakavyokuwa kabla na baada ya unyakuo. Fuatilia mafundisho haya katika video hii.