Upendo Nkone - Usifurahi Juu Yangu
0
0
11 Vues·
15 Août 2023
Dans
La musique
Upendo Nkone ni mmojawapo wa wainjilisti kwa njia ya uimbaji waliokuja kumshukuru Mungu kwa ajili ya hatua moja mbele kwa kanisa la Ufufuo na Uzima kufanikiwa kununua helikopta kwa ajili ya kuhubiria injili.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par