Avanti il prossimo

Usisahau, Kumbuka hili.

4 Visualizzazioni· 19 Agosto 2023
proshabo
proshabo
5 Iscritti
5
In Musica

Bwana Yesu asifiwe. Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu anaetupa kuishi kwa neema yake. pia nakushukuru sana wewe ambae umekua ukifuatilia kazi zinazotolewa kwa kupitia chanel yetu hii. Naamini hata kupitia wimbo huu utapata kujifunza na kuguswa na jumbe zilizomo ndani yake.
Furaha yangu ni kwamba siku moja tuwe pamoja mahali pazuri ambako ni mbinguni. Pia endelea kusubscribe, kucomment na kuwaalika watu wengine katika utumishi , maana wote tumealikwa na Bwana Yesu tuwe watakatifu na marafiki zake tunaopendwa sana lakini ni pale tukiokoka kwanza.
Mungu akubariki na nawapenda wote katika kristo.
Amina.

Mostra di più

 0 Commenti sort   Ordina per


Avanti il prossimo