Utakatifu
0
0
1 Views·
01 September 2023
Katika video hii, tunachunguza hali kinzani utakatifu wa Mungu huleta kwa wanadamu. Mungu ni Muumbaji mtakatifu na aliye wa kipekee aliye chanzo cha ukweli wote na mwanzilishi wa mema yote. Hata hivyo, wema huo unaweza ukawa hatari kwa wanadamu kwasababu wanakufa na ni waovu. Hatimaye, hali hii kinzani inatatuliwa na Yesu, anayeuvaa utakatifu wa Mungu unaokuja kuponya uumbaji Wake.
#BibleProject #Biblia #Utakatifu
Wahusika Katika Utayarishaji wa Video:
Timu Ya Utayarishaji Wa Toleo La Kiswahili
Tai Plus
Dar es Salaam, Tanzania
Toleo la Asili la Kiingereza na Utayarishaji Wake
BibleProject Portland, Oregon, USA
Show more
0 Comments
sort Sort By