Watoto Wajifunza Kuhusu UTAKATIFU na UJARISI: Kanaani Bible Church, Dodoma Tanzania.
0
0
3 Vues·
06 Août 2023
Dans
Bible Teachings
Nipo hapa kwa ajili ya Kumshuhidia BWANA YESU na KUTAHADHARISHA Watu wa Mungu kuhusu WOKOVU, KUTUNZA UTAKATIFU na Jinsi ya KUTENGENEZA na BWANA YESU. Mara nyingi mimi hushuhudia maeneo ya Dodoma Stand ya Mabasi.
Kwa MAOMBI na Kutuma Sadaka kwa Ajili ya Kazi ya Mungu, tafhadhali tumia: Tigo +255 716 778 693 au Voda +255 768 906 552
Tafadhali SHARE na WENGINE ili Watu wa Mungu WAPONE.
Bwana Yesu Akubariki sana kwa Kusimama nami kuifanya KAZI ya MUNGU. Amina.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par