Yo ozal Nzambe By Paul Mwangosi
0
0
4 مناظر·
03 اگست 2023
میں
موسیقی
Wimbo niliimba Mwaka 2005
Siku moja nilikuwa kanisani
Ninaomba nikasikia wimbo unaimba
Ndani yangu Yo ozal Nzambe mara nyingi
Wimbo nili urekodi mimi mwenyewe
kwenye Studio ya nyumbani kwangu
Akaja rafiki yangu Sanga akapiga
Solo Guiter.
مزید دکھائیں
0 تبصرے
sort ترتیب دیں