Zabibu Zena Ft Rose Muhando - Apewe Sifa (Official Music Video)
0
0
3 ビュー·
28 7月 2023
の
音楽
Katikati ya miungu hakuna kama yeye Bwana, Wala matendo mfano wa matendo yake. Ni Mungu mkuu mwenye UWEZA, mwaminifu vizazi hata vizazi!
ANASTAHILI kutukuzwa,
ANASTAHILI kuheshimiwa
ANASTAHILI kuabudiwa
ANASTAHILI kusifiwa.
#ZabibuZena#RoseMuhando#ApeweSifa
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え