Sermons
Director @Godwin six Producers @Robert Daniel Robby @Tella @salubeats8160 I have been sent to preach the gospel,in the city and villages,so that people may receive the Saviour,before I start preaching,let me pray first,and read the word so that the spirit may service us. Firstly,his word says confess your sins,his kingdom is near(confess your sins) you should stop sin,stop sin! Stop sin stop sin.....some say wait until tomorrow,when we preach the gospel to them,their saying not yet! some say wait a bit,their saying we are still enjoying our youth...to be born again;Not yet...Not yet Not Yet!!
People say I don't have a job to do when I say we should make an arc,some people snob.when I preach people to say stop being evil,they do evil,when I preach about people to stop being alcoholics,they still drink,some say beer is sweet,when they sing they praise ladies,God says he is a God of Jealous,he doesn't want any other god to be worshipped,firstly his word says you should confess your sins,his kingdom is near....you should stop sin,stop sin stop sin!!
Full video โ https://youtu.be/zq12-XlBX0U
Nimewaletea Video yangu mpya karibuni kuitzama,Ni nyimbo ambayo itakutoa sehemu uliopo nakukuleta sehemu salama kabisa.#SUBSCRIBE chanel yangu ili upate vitu vizuri sana.
---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
#JINSIYAKUPIKACHAKULA#RAISSAMIASULUHUHASSAN#ROSEMUHANDO
IJUE NJIA YA KUONGEA NA MUNGU NA IJUE NJIA YA KUKUSAIDIA KUMJUA MUNGU NA NENO LAKE..
*1๏ธโฃ NJIA YA KUONGEA NA MUNGU NI MOJA TU MAOMBI, UKIOMBA NA MUNGU ANAKUSEMESHA* imeandikwa hivi๐
*๐Yeremia 33:3 Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua.*
๐๐ปUsipoita hakuna siku Mungu ataitikia..
โInawezekana bado haujanielewa, ni hivi usipohoji hakuna siku Mungu atahojiana na wewe..
*๐Isaya 43:26 Unikumbushe, na tuhojiane; eleza mambo yako, upate kupewa haki yako.*
โKwahiyo ukitaka Mungu aseme hakikisha na wewe unasema (OMBA), ukitaka uhojiane na Mungu hakikisha unalo jambo la kumhoji Mungu vinginevyo hakuna siku utamsikia Mungu akisema na wewe ๐hili ni jambo mhimu sana kama unataka kuwa na mahusiano ya karibu na Mungu yanayokupa kumsikia MUNGU pindi anaposema na wewe..
2๏ธโฃNjia za kukusaidia ili ulijue neno la Mungu..
*NENO LA MUNGU UTALIJUA IKIWA UTAWEKA MIKAKATI INAYOELEWEKA*
(i) Mikakati ya kusoma biblia yako, kama hauna mda wa kusoma biblia hakuna siku utalijua neno la Mungu
(ii.) Mikakati ya kupenda kuhudhuria vipindi vya ibada kanisani kwenu,
*โถ๏ธ Ni hivi kanisani ndipo tunapopata mafundisho ya neno la Mungu, lakini pia ndipo tunapobadilishana mawazo na udhoefu juu ya Mungu, kwahiyo kama wewe si mtu wa ibada hakuna siku utalijua neno la Mungu..*
(iii) Mikakati ya kupenda kujifunza na kusikiliza mafundisho mbalimbali ya neno la Mungu..
*โถ๏ธMara ngapi unapata mda wa kusikiliza vipindi vya neno la Mungu redioni au katika runinga yako? Mara ngapi unapenda kufuatilia vitu vyenye tija na maisha yako kwenye mitandao ya kijamii hususa ni mafundisho ya neno la Mungu? Mara ngapi unanunua vijitabu vya mafundisho ya neno la Mungu? ๐ni hivi usipojipa wigo mpana wa kufuatilia neno la Mungu hakuna siku utalijua neno la Mungu..*
(iv.) Kupenda kuuliza maswali ya Kibiblia kwa watumishi wa Mungu..
โถ๏ธTakwimu za kibiblia zinaonyesha yakwamba katika wale mitume kumi na wawili wa Yesu walioonekana kulijua neno vizuri kuliko mitume wengine ni wale waliopenda kumwuliza Yesu sana maswali, moja kati ya hao ni PETRO, YAKOBO na YOHANA..
Mfano๐
โMaswali ya PETRO
*โพMathayo 15:15 Basi Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo.*
*โพMathayo 18:21 Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?*
*โพMathayo 19:27 Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?*
โMaswali ya YAKOBO na YOHANA
*โพMarko 13:3 Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, kuelekea hekalu Petro, na Yakobo, na Yohana, na Andrea walimwuliza kwa faragha,*
*โพLUKA 9:54 Wanafunzi wake Yakobo na Yohana walipoona hayo, walisema, Bwana, wataka tuagize moto ushuke kutoka mbinguni, uwaangamize; [kama Eliya naye alivyofanya]?*
๐๐ปNimekupitisha kwenye hii mifano michache ili uone yakwamba PETRO, YAKOBO na YOHANA ni mitume pekee wa Yesu waliolijua neno la Mungu kuliko mitume wengine kwasababu ni watu waliopenda kumwuliza Yesu maswali ili kujifunza, ndiyo maana kwasababu ya ufahamu wao mkubwa juu ya neno la Mungu katika biblia hawa ndiyo mitume pekee wa Yesu walioandika nyaraka ๐hakuna mtume mwingine aliyeandika waraka katika wale mitume kumi na wawili wa Yesu zaidi ya PETRO, YOHANA na YAKOBO..
*โNachotaka kukufundisha nikuwa kama unataka kumjua Mungu na neno lake jifunze kuwa mtu wa maswali, Jifunze kumwuliza Roho mtakatifu aliye mwalimu mkuu lakini pia jifunze kuwauliza watumishi wa Mungu maswali mbalimbali ya kibiblia, UDADISI WAKO WA MAMBO UTAKUFANYA ULIJUE NENO LA MUNGU KWA UPANA WAKE NA UMJUE PIA MUNGU WAKO VIZURI..*
๐ถMwisho..
*๐Waefeso 1:17 Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye;*
*JIFUNZE ZAIDI HAPA*
๐๐๐๐๐
https://youtu.be/pc5yysyDe3c
*SHARE UJUMBE HUU KWA WENGINE NA MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA*
*TUZISIKILIZE NA KUZIFUATA AMRI ZA BWANA MAANA YEYE NDIYE ATUFUNDISHAYE NA KUTUONGOZA ILI TUPATE FAIDA*
Bwana Yesu Asifiwe.
Wapendwa katika Bwana nimetafakari sana upendo wa Mungu ndani ya maisha ya mwanadamu nikagundua ni mkuu mno tena sana jamani.
Lengo la Mungu wetu ni sisi kukaa na yeye tu siku zote, hapendi tupotee kabisa. Maana mpango wa Mungu ni sisi kuishi naye milele. Ndio maana alipoona mwanadamu wa kwanza ameharibu alimtoa mwanawe pekee afe msalabani ili atuokoe kutoka vifungoni na turejee kwake.
Mungu ndiye aliyetuumba, hivyo kwa vyovyote vile anatujua kuliko sisi tujijuavyo yaani baba zetu wa kimwili wanatufahamu sana kwasababu wao ndio waliotuzaa pia.
Anaposema Mimi ndiye nikufundishaye na kukuongoza ktk njia inayopasa ili upate faida ni kweli kabisa, kwani pasipo kuongozwa naye sisi ni wa kupotea tu, kwasababu mwanadamu pasipo Mungu si kitu. Katika Mungu Yesu Kristo tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu.
@VISIONSTUDIOZ +254719399639
Acha dhambi
Vijana KKKT ubungo
LIKE NA SUBSCRIBE KWA CHANNEL YETU UPATE MAHUBIRI KAMA HAYA KILA SIKU.
USISAHAU KUSHARE ILI NA WENGINE WABARIKIWE
#tanzania #tanzaniagospel #ingospel
Official video 4k GLCmedia
Subscribe,Like & Comment Kwenye nyimbo zetu na Channel yetu,kwa baraka za Mungu maishani mwako!!.Wasiliana nasi kupitia simu no. 0752765081;0622432934,kwa maoni na mchango wako wa hali na mali, katika kulipeleka INJILI YA YESU KRISTO MBELE,KUPITIA UIMBAJI WA NYIMBO HIZI ZA INJILI!!.,Zaidi ya yote,ZIDI KUTUOMBEA!!
Provided to YouTube by TuneCore
Acha Dhambi ยท GRANT CHARLES
Acha Dhambi
โ 2023 BIG DADDY MUSIC
Released on: 2023-04-30
Auto-generated by YouTube.
Acha dhambi
Lucy Cheza - Acha Dhambi (Official Video)SMS (SKIZA 5709374) to (811) to set this song as your skiza
#LucyCheza #AchaDhambi #Gospel music
SUBSCRIBE, LIKE ,COMMENT & SHARE
the song dhambi warn us to stay away from sin so that our prayer will be answered whenever we pray.get the song
youtube
mdundo
boomplay
to call Lucy cheza
0748874900
Niko tayar kwa miariko ya ndan na nyje number +255787173340
Kanisa la REUMI ( Reaching Unreached Ministries Int' Church), tunapatikana Mang'ola Barazani wilayani karatu, mkoa wa Arusha.
kwa ushauri ni maombezi, wasiliana nasi
Mchungaji Stanley Amsi
0768 051 540, 0769876808
BACHU SDA CHOIR TABORA TZ
A.I.C MUISUNI CHOIR - KANGUNDO - ACHA DHAMBI - FULL HD
Kenyan Gospel Music - 2016
DIRECTED By - Musyoka
VIDEO BY - WATALII STUDIOS
Ruth Okachia - Acha Dhambi
Acha dhambi ni wimbo ambao unaelezea watu wanavyo tenda dhambi na kuchukulia kila dhambi ni sawa
GCTV MEDIA +254 729 422 339
GOSPEL CHOIR VIDEO
#EsterKalinga#AchaKalinga#
#peterjoshua #achadhambi #gospermusic
The Best Of African Music: Kikuyu Music: Kikuyu Gospel Music: Kenyan New Music 2016: Kamba Music: kalenjin Music: Luyha Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
wimbo no. 2 kutoka album ya Dunia kiganjani
HAKIKA MUNGU NI WA AJABU AMETUTOA KATIKA KIFO NA KUTULETA SALAMA ..
#PRISCAPETRO
#achadhambi
Alilolipanga Mungu kwenye maisha yako kamwe hakuna wakupangua kabisa usikate tamaa songambele wakati wa kuinuliwa kwako umefika.#VailethMwaisumo#Alilolipanga#Mungu.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/
แจแฐแจแ แซแฝแ แ แญแญแตแถแต แขแจแฑแต แคแฐแฐแฆแผ แจแแแฝแ แจแจแแฃแตแ แแแ แฅแแ แแแแแ แจแแตแฐแ แจแแณแแแแแฃ แ แแณ แจแแแแฝแ แแแฝแ แแแญแผ แญแ แ แจแฉแฒแฉแฅ แปแแ แ แแญแแด แญแ แญแณ แฅแจแ แจแ แ แจแแ แ แแแ แ แแ แจแซแดแ แ แ แญแฅ แจแฐแซแแธแแ แฅแซแแฝ แ แ แฐแ-แฐแจแฐแ แ แจแแ แฑ แจแแแญแฅแแฝแ แฒแแ แจแแแฝแแ แฅแซแแฝ แ แแ แจแฉแฒแฉแฅ แปแแ แจแแณแแ แแแแ แฅแซแณแแ แ แฐแฅแตแญแซแญแฅแฃ แผแญ แฅแแตแณแฐแญแแ แแแแ ..แขแจแฑแณแฃ แขแฐแ แแฌแแฎแ แช-แฑแแโฆ. แจแแแแ แแแแญแแญ แฐแแ แแแแกแก แแณ แญแฃแญแซแฝแแกแก
#AmitieLukogo #AnisetiButati #subscribe #Sifaheshima
Pastor Masanja
Video from Aniseti Butati
#AnisetiButati #Amenibadilisha #NgommaTz
NAIONA KESHO by Mary Limo Feat. Aniset Butati (Official Video)
#MaryLimo #Gospel #Anisetbutati Mary Limo ft Aniset Butati.
Tazama pia;
Jina la Yesu by #MaryLimo
https://www.youtube.com/watch?v=Kc9W4B24S9c
Dunia Tunapita by #MaryLimo
https://www.youtube.com/watch?v=S_MQCZYV-xg
Ushuhuda by #MaryLimo
https://www.youtube.com/watch?v=LjudsQJ4XxI
ยฉ2019 Administered by Youtube
Song: Kuna Mungu
Artist: Jackson Yusuph
Year: 2020
Video Location: Tanzania
For Booking& Inquiries: Bookjackson2020@gmail.com
Facebook:Jackson Yusuph
Instagram: https://www.instagram.com/jackson_yusufu/
#ChristopherMwahangila #AnisetButati #TanzaniaGospel
#AnisetButati #Simamakwazamyako #NgommaTz
GOSPEL SONG
ARTST;DAVID KASABA FT ANISET BUTATI
SONG;-MTETEZI (OFFICIAL VIDEO)
DIRECTED BY ;RG (RamyGpro)
BOOKING NOW +255747080481 +255713172084 davidkasaba01@gmail.com
#gospelsong #tanzania #top5hit
Audio production _ Butati music
Produser _Jjozam
Sound engineer _tiger
Booking no_+255675197388