Gospel Songs

Sub Category

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Tupe Moto Wa Uhai, Nyimbo Za Kristo/Tenzi Za Rohoni Instrumental.

Tafadhali!!! Karibu Advent TV Online UNGANA NASI KWA KU-SUBSCRIBE ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

video hii ni ya nyimbo ya tenzi za rohoni itwayo lipo lango moja wazi nyimbo hii imewekewa maneno ili kumwezesha mtazamaji kuimba kwa kufuatiza maneno

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Aweka wazi kuwa ni nyimbo zenye upako wa namna yake.
Msikilize hadi mwisho kama unavyojua kuwa amemtumikia Mungu kwa kadri ya alivyowezeshwa naye tangu miaka kadhaa iliyopita.
Hivi ndivyo asemavyo......

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX TANZANIA SONGS
Subscribe, like, share and comment

Discover more about NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX TANZANIA SONGS, NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX TANZANIA SONGS, PLEASE click: https://www.youtube.com/channe....l/UCEy8IqTrvlRVusUg6

The video is presenting NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX TANZANIA SONGS valuable information but also try to cover the following subject:
-NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX TANZANIA SONGS
-Rose Muhando Masekete Official Music Audio
-rose muhando new album
-best of rose muhando songs
-best of rose muhando songs

COPYRIGHT DISCLAIMER:

This channel is for gospel music.
We have a policy of responding to any violation notices and taking necessary legal action in accordance with applicable intellectual property laws. If you believe that your copyrighted material has been posted on this Channel and would like it deleted, please contact us at gospelmusic999@gmail.com. It may take up to three business days to process your request.

Thank you.

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

#tenzi za rohoni #wimbo namba 58 #tenzi namba 58 #tenzizarohoni #tenz #mwamba wenye imarai

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

# SUBSCRIBE
NYIMBO CIA MAHOYA NA KUINIRA NGAI WITU

proshabo
12 Views ยท 1 year ago

Nyimbo Tenzi za Rohoni - Swahili Praise Song Collection

00:00:00ใ€Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu Ni Kumwokoa Binadamuใ€‘
00:03:08ใ€Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyoteใ€‘
00:07:54ใ€Kiini cha Kristo Ni Munguใ€‘
00:11:49ใ€Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamuใ€‘
00:16:45ใ€Kwa Kuwa Mungu Anamwokoa Mwanadamu, Atamwokoa Kabisaใ€‘
00:22:22ใ€Zingatia Majaliwa ya Binadamuใ€‘
00:25:27ใ€Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwishoใ€‘
00:28:57ใ€Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwiliใ€‘
00:33:51ใ€Maneno Ya Mungu Ni Ukweli Usiobadilika Mileleใ€‘
00:37:18ใ€Maonyesho Kamili ya Mamlaka ya Muumbaใ€‘
00:43:38ใ€Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamiziใ€‘
00:48:42ใ€Mungu Anapata Mwili ili Tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamuใ€‘
00:52:46ใ€Mungu Anashuka na Hukumuใ€‘
00:56:27ใ€Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Munguใ€‘
01:00:01ใ€Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamuใ€‘

Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/ap....p/the-church-of-almi
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1
App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

wimbo huu ni wa tenzi za Rohoni unaitwa
YESU UNIPENDAYE
uwepo wa Mungu uwe pamoja nawe pindi unaposikiliza wimbo huu

If you like the background video download it for free , Use this link
https://www.pexels.com/


ยฉ๏ธIf anyone has copyright issue with these song or picture, please contact us and we will delete it immediately


Contact us through;
email; andreanico211@gmail.com
phone number; +255759496895
Twitter;https://twitter.com/_andrea_nico?t=_O6ORNAF1nfwIqmtkN_45Q&s=09



#nyimbozakuabudu #nyimbo #kuabudu #swahiliworship #swahiliworshipsong #lyrics #nonstop #tenzizarohoni

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

WHEN MY HEART IS EMPTY AND MY SOUL LOST, YOU GOD WHO PROVIDE THE STREAMS OF WATER THAT MY HEART WILL STAY STRONG
Year :2010


SARAH K CONTACTS
Email - sarahmwangi40@gmail.com
Facebook - https://www.facebook.com/Sarahkmusic
Twitter - https://www.twitter.com/Sarahk_Sarahk
Instagram - https://www.instagram.com/sarah_sarahk


#SarahK #WorshipMoments #MnyunyiziWangu

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

#worship #worshipsongs #tenzizarohoni
Best of all time gospel hits that will uplift you spiritually and make you feel God's presence near.
Be blessed.
Remember to subscribe and share.

proshabo
23 Views ยท 1 year ago

Planting time will not always be smooth but happiness will be manifested during the Harvesting time.

Tenzi za Rohoni Playlist: https://m.youtube.com/playlist....?list=PLXr6yhp3hzNzh

#TeamNjeruThiga #Jesus #worship https://www.facebook.com/njeruthigaofficial #njeruthigaoffical #njeruthiga

proshabo
37 Views ยท 1 year ago

Artist: Evangelist Ezekiel
Audio: Xzylent Media
#newlife #ezekiel #worship #worshipsongs #xzylent_Media #Ev.Ezekiel

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Be blessed as you listen and subscribe to our channel Apex media Records

proshabo
5 Views ยท 1 year ago

Biti hii ni nzuri kwa kuimbia hasa kwa wale waliofungua huduma na hawajapata vyombo vya mziki. Unaweza tumia kwa Utukufu wa Mungu.. Amina.

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

โ€œThose who walk with God, always reach their destination.โ€ โ€• Henry Ford
Today's Song of Hope is this beautiful Hymn sang by the awesome Kestin Mbogo and we pray it encourages you to keep walking with God ๐Ÿ˜Š
#SongsOfHope #SongOfTheWeek

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

12. Ewe Roho Wa Mungu

1. Ewe Roho wa Mbinguni
Uje kwetu sasa.
Ufanye makazi yako
Ndani ya Kanisa.

2. Ndiwe mwanga, umulike
Tupate jikana;
Mengi kwetu yapunguka,
Tujalize, Bwana.

3. Ndiwe Moto, teketeza
Taka zetu zote:
Moyo na iwe sadaka
Ya Mwokozi, yote.

4. Ndiwe Umande, na kwako
Tutaburudika,
Nchi kavu itakuwa
Ni Baraka.

5. Roho wa Mbinguni uwe
Nasi hapa chini,
Mwili uufananishe
Na kichwa Mbinguni.

Addy mwanjowe

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

Jifunze kupiga wimbo wa KITABUNI wa BWANA MUNGU NASHANGAA KABISA
๐Ÿ”น BWANA MUNGU, NASHANGAA KABISA,
Nikitazama jinsi Vilivyo
๐Ÿ”นNyota Ngurumo Vitu Vingi vyote, Viumbwavyo KWA uwezo walk
๐Ÿ”นroho yangu na ikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu

#PianoMelody
#BwanaMunguNashangaaKabisa
#TenziZaRohoni
#JifunzeKinanda

proshabo
6 Views ยท 1 year ago

Nyimbo za Tenzi hugusa moyo.

proshabo
0 Views ยท 1 year ago

TENZI ZA ROHONIN YIMBO ZA WOKOVU mix

proshabo
10 Views ยท 1 year ago

#worship #worshipsongs #tenzizarohoni
Best of all time gospel hits that will uplift you spiritually and make you feel God's presence near.
Be blessed.
Remember to subscribe and share.

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

Bwana uliyewaita
Watakatifu wako
Wawe mitume, wachunga
Walishe kundi lako
Wanyonge na wenye hofu
Wakawa mashujaa
Na wapole wa kunena
Wasiwe kunyamaa

Hata leo wawataka
Watakatifu wako
Nawe wauliza tena
Ni nani aliyeko
Atakaye nimtume
Afundishe vijana
"Ni tayari Bwana wangu
Nitume mimi Bwana

Nitume na mimi Bwana
Kama ulivyotumwa
Habari ya msamaha
Na dhambi kutubiwa
Niwahubiri wakosa
Na waliopotea
Wokovu ni wake Bwana
Aliyewafilia.

Astahiliye hapana
Kutamka habari
Lakini wewe waweza
Kutufanya tayari
Neno Lako tulijue
Tupe na Roho wako
Hayatakuwa ya bure
Haya Maneno yako

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

Artist: Prince Amos
Song: Mungu Ni Pendo
Studio: BM Morogoro Tanzania
Producer: Prince Amos

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Fungu 1:
Mungu atukuzwe kwa mambo makuu,
Upendo wake alitupa Yesu,
Aliyejitoa maisha yake,
Tuwe nao uzima wa milele.

Msifu, msifu, dunia sikia;
Msifu, msifu watu wafurahi;
Na uje kwa Baba, kwa Yesu Mwana,
Ukamtukuze kwa mambo yote.

Fungu 2:
Wokovu kamili, zawadi kwetu,
Ahadi ya Mungu kwa ulimwengu;
Wanaomwamini na kuungama,
mara moja wale husamehewa.

Msifu, msifu, dunia sikia;
Msifu, msifu watu wafurahi;
Na uje kwa Baba, kwa Yesu Mwana,
Ukamtukuze kwa mambo yote.

Fungu 3:
Alitufundisha mambo makuu,
Alihakikisha wokovu wetu;
Lakini zaidi. ajabu kubwa,
Yesu atarudi na tutamwona.

Msifu, msifu, dunia sikia;
Msifu, msifu watu wafurahi;
Na uje kwa Baba, kwa Yesu Mwana,
Ukamtukuze kwa mambo yote.

proshabo
8 Views ยท 1 year ago

Isaiah 25: 4
For thou hast been a.....A refuge from the storm, a shadow from the heat, when the blast of the terrible ones is as a storm against the wall.

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Fungu 1:
Na tuumwabudu huyo mfalme,
sifa za nguvu zake ziimbe;
Ni ngao, ni ngome, Yeye milele,
Ndizo sifa zake kale na kale.

Fungu 2:
Tazameni ulimwengu huu,
Ulivyoumbwa, ajabu kuu;
Sasa umewekwa pahali pake,
Hata utimize majira yake.

Fungu 3:
Kwa ulinzi wako,kwetu Bwana,
Twakushukuru, U mwema sana;
Hupewa chakula kila kiumbe,
Kila kitu kina mahali pake.

Fungu 4:
Wanadamu tu wanyonge sana,
Twakutumaini Wewe, Bwana;
Kamwe haupungui wako wema,
Mkombozi wetu, Rafiki mwema.

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

TENZI ZA ROHONI | NYIMBO ZA WOKOVU | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI TANZANIA, NYIMBO ZA INJILI

#nyimbozawokovu #nyimbozainjili

proshabo
0 Views ยท 1 year ago

Asubuhi Njema-That Bright Morning

Sweet Old Song Previous perfomed by Golden Gates Uganda and many other Choirs in East Africa

Lyrics
Asubui njema asubui ya furaha, tutakapovuka mto wa yorodani, tukishangilia tukiinba kwa furaha, (haleluyha haleluyha na asifiwe)*2

Churus :
Washindi watafurahi kukanyaga nchi mpya taabu zote eeeh watazisahau pale!,wakiingia mjini wataonana na yesu,atawafuta machozi kwa furaha kwa furaha*2

Tutakapofika katika mji ule, mji mtakatifu makaoni pa mungu, kitini cha enzi,aketiye baba mungu, (tutakaribishwa pamoja na mwokozi)*2

Nyimbo za furaha,tutaziimba pale, tukipongezana kupeana mikono tukitabasamu,tabasamu za hakika, (sifa na heshima zote ni kwa yehova)*2

TO GET THIS SONG AS YOUR SKIZA TUNE SIMPLY SMS SKIZA 7639861 TO 811

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

Swahili Hymn/Tenzi za rohoni

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

hii ni miongoni mwa nyimbo zinazopatikana katika tenzi za rohoni na hii ni instumental pekee bila sauti ila nimeiwekea maneno ambayo yatakuongoza wakati unaimba .Shukrani za dhati zimuendee Mungu ambae ametuumba.Asante na enjoy.

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

Nyimbo hizi za WOKOVU zinazotumika katika kanisa la Fpct hapa nchini Tanzania pamoja na makanisa mengine, zimerekodiwa na kwaya ya Shalom Vine Choir toka kanisa la Fpct Shalom Temple lililopo wilaya ya Kahama katika mkoa wa Shinyanga.
*****************
Katibu wa Kwaya
John Theodory - 0763773796

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

hii ni miongoni mwa nyimbo zinazopatikana katika tenzi za rohoni na hii ni instumental pekee bila sauti ila nimeiwekea maneno ambayo yatakuongoza wakati unaimba .Shukrani za dhati zimuendee Mungu ambae ametuumba.Asante na enjoy.

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

Bwana ni Mchungaji Wangu - by Reuben Kigame and Sifa Voices ft Jayne Yobera

David, the king of Israel, was an experienced shepherd of his fatherโ€™s flocks. He is the one who penned Psalm 23, the message carried in this video. For David, an experienced shepherd to say โ€œThe Lord is my Shepherdโ€, he understood what he was talking about. David did not write this psalm only for himself. Make it your song today, no matter what you go through.

Written in 1996, the song has been translated into many languages and is a favourite in many African Church congregations as far as Central and Southern Africa. It is Reubenโ€™s prayer to see the song sang in as many languages of the earth as possible. What a joy to hear both the police and army bands perform this psalm as rendered by Mr. Kigame.

Please make this your fellowshipโ€™s anthem and something the young and old can use in worship.

Copyright Kigame Media 2019

Unauthorized duplication, distribution, circulation, download or upload of this recording is prohibited under the Laws of Kenya and may also result in punitive action by relevant online licensing teams including YouTube.

Follow us on Social Media:
Facebook: https://www.facebook.com/kigamemedia/
Twitter: https://twitter.com/Reuben_Kigame
Website: https://www.kigamemedia.org
Subscribe to our YouTube Channel: https://www.youtube.com/channel/UCeFL...

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

Bwana u sehemu yangu.
Wimbo mojawapo katika nyimbo za injili.
#Pamoja na wewe
#Nyimbo za injili
#Tenzi za rohoni

proshabo
5 Views ยท 1 year ago

Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... https://www.youtube.com/channe....l/UCgGHvEYyIIcGYzLOI
2. Zawadi blandine ... https://www.youtube.com/channe....l/UCNDpab1B_9Z732qk5
3. Helbeth Mlelwa ... https://www.youtube.com/channe....l/UCz72LWtsVGeSOBWLS

Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... https://www.youtube.com/channe....l/UC_8kqo8QcC2Y1F07Z
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya https://www.facebook.com/salome.mwampeta.5

KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

Ushaka kuraba izindi video kuri UMUCO WERA TV
Fyonda hano https://www.youtube.com/channe....l/UCwFam05QpDhm27_c2

Kurikira INTAHE hamwe n' UBUTUMWA BWIZA umusi kumusi kuri chaine UMUCO WERA TV

Ukaba wipfuza guterera iciyumviro canke ikindi cose cotezimbere chaine yacu Woturondera kuri 79 969 452(ikoreshwa no kuri whatsapp)
#INTAHE #UMUCO_WERA_TV#DR_TV

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Nyimbo hizi ni daraja linalokuunganisha na Mungu, Sikiliza Upate amani ya moyo. Ameni

proshabo
7 Views ยท 1 year ago

Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... https://www.youtube.com/channe....l/UCgGHvEYyIIcGYzLOI
2. Zawadi blandine ... https://www.youtube.com/channe....l/UCNDpab1B_9Z732qk5
3. Helbeth Mlelwa ... https://www.youtube.com/channe....l/UCz72LWtsVGeSOBWLS

Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... https://www.youtube.com/channe....l/UC_8kqo8QcC2Y1F07Z
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya https://www.facebook.com/salome.mwampeta.5

KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN

proshabo
6 Views ยท 1 year ago

#tenzi #injili

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Nyimbo za ibada iliyofanyika jumapili tarehe 27-08-2023, Mchanganyiko wa nyimbo za Tenzi za Rohoni, Injili,Collection songs and Mungu
CHA KUTUMAINI SINA - TENZI 15
CONTACTS:
+255 753 239 845
darchristiantabernacle@gmail.com

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Made by JS




Showing 3 out of 4