Mensen & blogs

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

by star extension media pro

proshabo
0 Bekeken · 2 jaar geleden

Mchungaji na mwalimu Dkt. Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula au kwa kimombo “Warehouse Christian Centre(WCC)” amefariki dunia, usiku huu.

Kabla ya kuanzisha kanisa lake hilo, alihudumu TAG.

proshabo
4 Bekeken · 2 jaar geleden

KUFANYA KAZI KWA BIDII NDIO SIRI YA KUFANIKIWA KATIKA JAMBO LOLOTE LILE

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

TANZIA: MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU
-
Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi ni kiongozi wa Kanisa la Warehouse Christian Center(WHC)
-
Mpaka anafariki alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma ya the Voice of Hope Ministry, Mshauri wa Saikolojia wa BLCCC
-
Alifahamika zaidi kwa mahubiri na mafundisho yake kuhusu mahusiano na maisha ya ndoa yaliyoenea zaidi kupitia Mitandao ya Kijamii

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

*welcome to HB TV official you tube chanel
*CONTACT us via: SIM1: 0674 260868 (call us)
: SIM2: 0738 467 864 (whatsapp)

#HAS_BILLION

proshabo
10 Bekeken · 2 jaar geleden

#BreakingNews#WHC#MchingajiMitimingi

Mchungaji wa kanisa la Warehouse Christian Centre (WHC) , Peter Mitimingi Amefariki dunia usiku huu.

Mchungaji Mitimingi amejizolea umaarufu katika mafundisho yaliyojikita katika mahusiano ya na Ndoa.

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

Mch na Mwl. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
5 Bekeken · 2 jaar geleden

EJM TV don't forget to SUBSCRIBE

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

TANZIA:Mchungaji PETER MITIMINGI Afariki Dunia

proshabo
4 Bekeken · 2 jaar geleden

Mch.Peter Mitimingi wa TAG MWENGE NA HUDUMA YA VHM.

proshabo
4 Bekeken · 2 jaar geleden

MCHUNGAJI/PETER MITIMINGI/AFARIKI DUNIA USIKU HUU

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

Mara nyingi sana watumishi wa Mungu wanapopelekewa shida za matatizo ya ndoa huishia kwenye maombezi. Wakati mwingine matatizo ya ndoa sio mpaka maombezi, bali ni ufahamu NENO la UZIMA linasema, "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" Ufahamu ukipona, ndoa imepona.

Mch na Mwl. DR MITIMINGI p. Counseling Psychoplogist +255 713 18 39 39

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

UJAPOKABILIWA NA CHANGAMOTO KUKIMBIA SIO SOLUTION - JIFUNZE KUZITATUA NYINYI WENYEWE
Jifunze kushughulikia matatizo yeno wawili nyinyi wenyewe. Kuachana sio suluisho la ndoa!

proshabo
8 Bekeken · 2 jaar geleden

HAIJALISHI JAMBO ULILONALO NI GUMU KIASI GANI - NEVER LOOSE HOPE

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

Je kuna madhara gani kijana anapojichua?

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

Watoto wote unaowaona Duniani wamelelewa kwenye mtindo fulani. Hata wewe ulilelewa kwenye moja ya mtindo huo, na kuna athari za maisha unazipitia leo ambazo zinatokana na mtindo ambao wazazi wako nao waliuchagua kukulea wewe.

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

Mwanamke anaweza kutoa Tendo la ndoa kwa vigezo vingi, aidha anaweza akatoa tendo la ndoa ili apate pesa, mali N.K.
Ni muhimu kwa mwanaume unayetaka kuoa kuchunguza vigezo sahihi, Ukiona mwanamke anakupa Tendo la ndoa na haujaoa, kimbia huyo ni KIMEO-

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
5 Bekeken · 2 jaar geleden

MCHUNGAJI KIONGOZI SUBIRA MITIMINGI AKIWAASA WANAWAKE KUJITAMBUA.
RADIO ONE - TANZANIA

proshabo
4 Bekeken · 2 jaar geleden

ILI KUUTEKA MOYO WA MWANAUME, Mwanamke anahitaji kumbembeleza mume wake hata kama mume amekosea. NB. "Jawabu la upole hutuliza hasira"

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
7 Bekeken · 2 jaar geleden

MCHUNGAJI MITIMINGI AFARIKI DUNIA,CHANZO,KAULI YA MWISHO INAUZUNISHA SANA JAMANI !! REST IN PEACE #PETERMITIMING #MCHUNGAJIMITIMINGI #PETERMCHUNGAJI #KIFOCHAMITIMINGI

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

#millardayoUPDATES#AyoTV

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

Fatilia mahojiano na Marehemu Mch, Peter Mitimingi kabla ya kufikwa na umauti April 3 2020.
#Mchezakwao #MitiMingi #Startv

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

MANENO YA MWISH0 MCHUNGAJI MITIMINGI JAMANI INAUMIZA,ALIJITABILIA,MANENO YA UCHUNGU HAYA,UNAUMIZA,

proshabo
2 Bekeken · 2 jaar geleden

Tumepewa Leo - Kama kijana unaitumiaje leo yako?

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39.

proshabo
1 Bekeken · 2 jaar geleden

BONYEZA LINK 👉 https://play.google.com/store/....apps/details?id=com. kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.

proshabo
1 Bekeken · 2 jaar geleden

MZUNGUMZAJI BORA MBELE ZA WATU HUACHAGUA NINI CHA KUONGEA NA NINI SIO CHA KUONGEA

proshabo
1 Bekeken · 2 jaar geleden

Melankoli akiwa na hisia ya kufanya jambo! Hufanya kwa hisia za juu na kwa uhakika.

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
1 Bekeken · 2 jaar geleden

#SUBSCRIBE#KAYUNIONLINETV#RIP#MCHUNGAJI#

proshabo
4 Bekeken · 2 jaar geleden

#Mitimingi

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

TANZIA: MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA USIKU HUU
-
Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi ni kiongozi wa Kanisa la Warehouse Christian Center(WHC)
-
Mpaka anafariki alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma ya the Voice of Hope Ministry, Mshauri wa Saikolojia wa BLCCC
-
Alifahamika zaidi kwa mahubiri na mafundisho yake kuhusu mahusiano na maisha ya ndoa yaliyoenea zaidi kupitia Mitandao ya Kijamii

proshabo
5 Bekeken · 2 jaar geleden

Kitu kisicho na uhai hakina upendo!

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

Ukitaka kufika mbali, kihuduma/kimaisha/kibiashara siri kubwa ambayo wengi huiona ya kawaid ni kunyenyekea. Ukinyenyekea. Utabarikiwa.

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
3 Bekeken · 2 jaar geleden

Kijana anaweza kuwa na Hazina lkn ukipata THE WRONG CHOISE, Zile ndoto, maono, mawazo uliyokuwa nayo yataisha/hayatafika kule ulikotarajia.

Je' Ni nani unaamua kumpa maisha yako? Tambua dalili sahihi za kubaini mke au mume wa kukufaa katika maisha yako.

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39




Showing 4 out of 5