ALHAPPINESS GAMANYWA AFURAHI KUPATA MTOTO MWINGINE WA KIUME
0
0
2 Ansichten·
06 August 2023
Alhappiness Gamanywa ambae ni mke wa Askofu Sylvester Gamanywa amesema kwamba amepata mtoto wa kiume mara baada ya kumuozesha binti yao katika ndoa iliyofungwa leo July 16-07-2022 kati ya Meshack Otoore na Sha'mael Gamanywa.
#wapotv, #alhappiness #ndoa #familia #bcic
Zeig mehr
0 Bemerkungen
sort Sortiere nach