Askofu Kakobe 'amvulia kofia' Rais Magufuli
0
0
3 Views·
04 August 2023
"Haijawahi kutokea kuwa na Rais na Serikali yake ambao wameheshimu viongozi wa dini kama wewe," - Kali ya Askofu Kakobe akieleza namna yeye na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wakiteta jinsi Rais Magufuli anavyoheshimu viongozi wa dini.
Ni katika hafla ya makabidhiano ya Mfumo mpya wa kusimamia uwazi katika mawasiliano ya simu.
Show more
0 Comments
sort Sort By