BISHOP SYLVESTER GAMANYWA - Persenal Certificate.
0
0
2 ビュー·
06 8月 2023
Naitwa askofu Sylvester Gamanywa mwangalizi mkuu wa makanisa ya wapo mission international, furaha yangu ni kukutambulisha kwenye tovuti yangu mpya ya SADAKA network na ukifungua katika tovuti hii , utakutana na zawadi yangu , ambayo ni ya mwaka huu yenye cheti maalum cha salamu za mwaka mpya, utapata cheti hicho bila malipo yeyote. Karibu kutembelea katika tovuti yangu ya SADAKA network .
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え