क्या आप 18 साल या उससे अधिक उम्र के हैं?
Chomoza ya Clouds Tv ilifunga safari hadi nyumbani kwa Boni Mwaitege Kitunda Kinyantila.Hapa akieleza mafanikio aliyopata kupitia muziki wake.