ELIWINJUKA AFUNGUKA SABABU ZA KUNDI LA KIJITONYAMA UPENDO GROUP KUVUNJIKA.
0
0
2 Views·
03 August 2023
In
Gospel Songs
Eliwinjuka ni mmoja kati ya waimbaji waliokuwa wanaunda Kundi la Muziki wa Injili Tanzania Kijitonyama Upendo Group lilifahamika sana Hapa Tanzania na nje ya nchi kupitia nyimbo zao kama vile BAMBAM,Leo anafunguka sababu iliyopelekea kundi hilo kuvunjika.
#LiveOnLive
Show more
0 Comments
sort Sort By