下一个

Gamanywa: Lolote likimpata Mh. Tundu Lissu utaona cha Mtemakuni

5 意见· 06 八月 2023
proshabo
proshabo
5 订户
5

Siku chache Kabla ya Kupigwa Mh. Lissu , alisakamwa sana na Kuitwa Msaliti na Wahuni wote wa CCM, Akiwepo Mwenyekiti wao Rais Magufuli.

Leo tena Kwa Kutumwa au Kujituma Mwenyewe, Ili alindwe na Maovu yake na Uhalifu Mbalimbali Sylvester Gamanywa anamwita Tundu Lissu Msaliti, Lolote likimsika Lissu au Machafuko, Nasi hiyu ataona cha Mtemakuni

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个