Hili Ndio Neno la Mchungaji Kakobe kwa Mhe. Paul Makonda
0
0
5 المشاهدات·
04 أغسطس 2023
Mkuu wa Mkoa wa DSM Mhe. Paul Makonda, tarehe 26/12/2018 aliwaalika Wachungaji na Maaskofu wa madhehebu ya dini ya Kikristo nchini na hili ndio neno la Askofu Kakobe kwa Paul Makonda.....tazama hapa.
أظهر المزيد
0 تعليقات
sort ترتيب حسب