Up next

Hujuma Dhidi Ya Kampeni za Lissu Arusha, Mungu Azima Ngoma

4 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Mafarisayo Kama Gamanywa na Wengine wanatakiwa Kujua Kuwa Mungu Hapangiwi wala Hafanyiwi Hila. Hapa tunaona Siku Lissu anafanya Kampeni Arusha ati wakaipeleka Timu ya Simba Icheze na Timu ya Arusha. Wakafanya Kiingilio Bure, Lakini wakabaki na Viti Vitupu, hawakuwa Na Walioenda hata 100 uwanjani. Arusha Yote ilienda Kumsikiliza Lissu. Mafirisayo Viongozi wa Dini Jifunzeni Kwa Ishara.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next