Up next

JINSI YA KUTOKA KWENYE VIFUNGO NA DHAMBI (ZINAZOKUTUMIKISHA) (Huwezi KUJIBADILISHA Mwenyewe!)

6 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Shalom in Grace!

"Mafundisho,Mafunuo ya Neno na Udhihirisho wa Roho Mtakatifu"

UHURU NA USHINDI MBALI NA DHAMBI:

Mwanadamu (Mtu wa asili) Hawezi kushinda utumwa wa DHAMBI kwa NGUVU zake,kwa bidii na juhudi zake zote bado anajikuta palepale akiwa anarudia DHAMBI na Uovu uleule, Pegine Hii imekuwa Changamoto yako!

Sasa USHINDI upo,na YESU KRISTO ndiye anayetupa USHINDI na UHURU mbali na DHAMBI na MAUTI (Warumi 8:1-2) Ameiondoa na kuisukumilia mbali Hatia na Hukumu ya Adhabu dhidi/juu ya Wote Waliomwamini yeye (YESU KRISTO)

Tunazungumza Udhihirisho wa Roho Mtakatifu kwasababu pamoja na Kwamba MTU ataamini (ataokoka) ili kuweza Kushinda jumla matendo ya mwili na tamaa zake mbaya ni lazima AENENDE KATIKA ROHO (Walk in Spirit) na hapa ndipo Roho Mtakatifu anahusika kuthibitisha ya kwamba Tumeusulubisha Mwili wa DHAMBI na tamaa zake na mawazo mabaya pamoja na Kristo YESU! (WAGALATIA 5:16-24)

ILI Kuendelea KUJIFUNZA na KUPATA Msaada zaidi wa KIROHO, wasiliana nasi,
kupiga simu na kutuma UJUMBE : +255655008730.

©Prophet Allen Adiel
ARUSHA-TANZANIA.
"Full of Word,Full of Spirit"

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next