Kakobe Tena! Asisitiza Ana Utajiri Kuliko Hata Serikali ya Trump!
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zakary Kakobe amesema hahofii kuchunguzwa na serikali kuhusiana na ukwasi anaoumiliki na kuongeza kuwa fedha alizonazo ni Zaidi ya fedha zinazomilikiwa na serikali nyingi Duniani.
Akizungumza wakati wa ibada ya Jumapili kanisani hapo Askofu Kakobe amesema kuwa, hana wasiwasi wa kuchunguzwa utajiri wake na kuongeza kuwa kwa sasa anamiliki pesa nyingi Zaidi ya serikali ya China na Marekani.
Insert...Askofu Zakary Kakobe –Askofu Mkuu, Full Gospel Bible Fellowship
Askofu Kakobe pia amewajibu watu wote waliokuwa wakihoji kuhusiana na uraia wake.
Wiki iliyopita askofu Kakobe akihubiri wakati wa mkesha wa sikukuu ya Christmas alidai kuwa yeye ni tajiri zaidi ya serikali ya Tanzania na haogopi kusema ukweli.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..