Up next

Kauli yamponza Askofu kakobe, sasa kuchunguzwa na TRA

1 Views· 04 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

BAADA ya kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zacharia Kakobe kudai ana fedha nyingi kuliko Serikali, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imejipanga kuanza kufuatilia ulipaji wake wa kodi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea).

Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema mamlaka yake imeipokea kwa furaha kauli ya Askofu Kakobe na inataka kujiridhisha vyanzo vya utajiri huo.

Kichere amesema TRA inafahamu kuwa shughuli za kidini hazitozwi kodi lakini inataka kufahamu kama fedha hizo za Askofu Kakobe zinatokana na sadaka pekee au kuna shughuli nyingine za kiuchumi.

Endelea kusoma MwanaHALISI Online kupitia: http://mwanahalisionline.com/
Usisahau kama haujasubscribe channel yetu ya YouTube bonyeza sehemu iliyoandikwa Subscribe ili uwe wakwanza kupata taarifa kutoka MwanaHALISI TV.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next