Kisha Nikaona Kiti Cha Enzi Kwaya Ya Barabara 13
0
0
16 vistas·
06 Agosto 2023
En
Sermons
Kisha nikaona kiti cha enzi
Kikubwa, cheupe
Na yeye aketiye juu yake
Nikawaona wafu,
Wakubwa kwa wadogo
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Na vitabu vikafunguliwa
Na kitabu cha uzima
Na hao wafu wakahukumiwa
Sawasawa na matendo yao
Bahari nayo ikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Mauti na kuzimu zikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Mauti na kuzimu
zikatupwa katika lile ziwa la moto
Hii ndio mauti ya pili
Yaani hilo ziwa la moto
Na iwapo mtu (yeyote) hakuonekana
Ameandikwa (katika) kitabu cha uzima
Alitupiwa katika lile ziwa la moto
Mostrar más
0 Comentarios
sort Ordenar por