Up next

Kujazwa Roho Mtakatifu ni kuvikwa mamlaka - Askofu Syvester Gamanywa

1 Views· 06 August 2023
proshabo
proshabo
5 Subscribers
5

Karibu katika Huduma zetu Zitolewazo na BCIC Mbezi Beach, kila siku kuanzia jumatatu hadi ijumaa, utapata huduma ya ushauri wa Kibiblia na Maombezi.

Jumapili kuna ibada ya Kiingereza ambayo huanza saa 1:30 Asubuhi hadi saa 3:30 Asubuhi na kufuatiwa na Ibada kuu ya Kiswahili kuanzania Saa 4:00 Asubuhi hadi saa 7:30 Mchana.

Tanzama ibada live/mubasha kilasiku Jumapili kwenye youtube na Facebook. Usikose.

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Up next