KWA UZURI WA UTAKATIFU WAKO TWAKUABUDU
0
0
2 المشاهدات·
31 اكتوبر 2023
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; na nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake. Kwa kuwa BWANA ndiye mwema; rehema zake ni za milele; na uaminifu wake vizazi na vizazi
أظهر المزيد
0 تعليقات
sort ترتيب حسب