MAHALI NI PAZURI - TENZI ZA ROHONI - TUMWABUDU MUNGU WETU
0
0
9 ビュー·
10 8月 2023
の
音楽
Nyimbo namba 325.
"Mahali ni Pazuri"
1. Mahali ni pazuri
Ndugu wanapokaa,
/: wakipatana vema
Na wakipendana.:/
2. Kama umande mzuri
Unyweshavyo shamba,
/:hivyo na Mungu
Wetu
Abariki ndugu.:/
3. Upendano hujenga
Boma zuri kwao,
/: wakae na amani
Waliookoka.:/
4. Na ulimwengu wote
Wavutwa nuruni,
/: halafu kundi moja
Na mchunga mmoja
Tu.:/
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え