Suivant

MAHOJIANO NA ASKOFU CHARLES JANGALASON (A VERY SPECIAL INTERVIEW WITH BISHOP DR. CHARLES JANGALASON)

4 Vues· 01 Août 2023
proshabo
proshabo
5 Les abonnés
5
Dans Sermons

Askofu Charles Jangalason ni mwanzilishi wa huduma ya HOFAN (Hope for all nations) duniani.

pia ni baba wa huduma nyingi, mshauri wa kinamama, mabinti, vijana wa kiume pia mshauri wa ndoa na masuala ya uchumi.

Lakini pia ni muhubiri wa kimataifa. maelfu ya watu wameokole na kufunguliwa kupia huduma yake.

wasiliana naye;
+255 756 499 999

Montre plus

 0 commentaires sort   Trier par


Suivant