Mahubiri ya Mchungaji Msaidizi Masanja Mkandamizaji Marekani
0
0
4 Görünümler·
19 Ağustos 2023
İçinde
Bible Teachings
Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya ama Masanja Mkandamizaji alipohudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES
(at University United Methodist Church)
3621 Campus Drive
College Park, MD 20740
Hii ilikuwa huduma ya kwanza nchini Marekani kwa Mtumishi huyu ambaye ni Mchungaji msaidizi katika kanisa la EAGT Mito ya Baraka lililopo Kariakoo jimbo la Temeke jijini Dar Es Salaam likiongozwa na Askofu Bruno Mwakibolwa na ameshafanya huduma katika sehemu mbalimbali nchini Tanzania.
Daha fazla göster
0 Yorumlar
sort Göre sırala