Makosa kumi (10) wanawake ufanya katika ndoa
0
0
21 بازدیدها·
01 سپتامبر 2023
که در
Bible Teachings
Nafahamu kuwa mahusiano au ndoa kuyumba kuna sababu nyingi sana. Inaweza kuwa madhaifu ya mume au mke au hata ndugu. Mke au mume wanaweza kuwa wanayajua madhaifu haya au hawayajui kabisa. Bahati mbaya sana, makosa au matatizo yanayosababishwa na wanawake yanaweza kuiathiri ndoa kwa uzito mkubwa kuliko matatizo mengine. Hii ni kutokana na nafasi aliyonayo mke kwenye ndoa. Je unayajua makosa wafanyayo wanawake kwenye ndoa? Fuatilia video hii kwa uelewa zaidi.
#DrChrisMauki#Makosa#Wanawake
بیشتر نشان بده، اطلاعات بیشتر
0 نظرات
sort مرتب سازی بر اساس