Mgosa Myovela_Wewe Mungu mwema. New Official song.
0
0
3 بازدیدها·
19 مرداد 2023
که در
موسیقی
Haleluya!!haleluya!! Haleluya!!♪
Zaburi 92
1 Ni neno jema kumshukuru Bwana, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu.
2 Kuzitangaza rehema zako asubuhi, Na uaminifu wako wakati wa usiku.
Mungu ni mwema sana.
Amina.
بیشتر نشان بده، اطلاعات بیشتر
0 نظرات
sort مرتب سازی بر اساس