MITIMINGI # 140 JE NI SIFA ZIPI ZA MWILI ZA KUZINGATIA UNAPOPATA MCHUMBA?
0
0
4 Kutazamwa·
10 Agosti 2023
katika
Watu na Blogu
Wapo vijana waliochumbia mke kwa kuangalia sifa za ndani tu, wakashindwa kuangalia zile za nje. NB. Unapooa au kuolewa hauowi roho, bali unaoa mwili. Kwa hiyo ni vyema sana kwa vijana kuangalia sifa zote mbili za ndani na za nje.
Mchungaji na Mwalimu Mitimingi P. VHM 0713183939
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa